GET /api/v0.1/hansard/entries/386248/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 386248,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/386248/?format=api",
    "text_counter": 77,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "yake? Yale mambo ambayo yanafanyika katika Garissa ni sawa na jambo kama hilo. Bw. Naibu Spika, ningetaka kuzungumza juu ya maendeleo kwa jumla. Nafurahi kuwa Rais alisema ya kwamba tutafanya irrigation ili kukuza chakula cha kuweza kuuzwa hapa nchini na hata nje ya nchi. Nafikiri katika sehemu nyingi ambazo zilikuwa zinajulikana kama kikapu cha chakula katika Kenya mashamba yamezidi kuwa madogo. Kikapu cha chakula katika nchi hii yetu ya Kenya, kitakuwa katika Mkoa wa Kaskazini, Upper Eastern, Lodwar na sehemu zingine, kwa sababu ardhi ni kubwa, lakini shida ni uhaba wa maji. Tunajua ya kwamba katika nchi ya Israel kuna Jordan River ambao ni mdogo, lakini wanakuza vyakula vya kila aina ambavyo vinawatosheleza na pia kuwawezesha kuuza katika nchi za ng’ambo. Katika sehemu ninazozungumzia kuna maji ardhini. Pia tumeona kuwa wakati mvua inanyesha katika Tana River, Garissa, Lodwar The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}