GET /api/v0.1/hansard/entries/386251/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 386251,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/386251/?format=api",
"text_counter": 80,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Senator for Migori County",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Sen. (Dr.) Machage): Bw. Naibu Spika, niruhusu nikupongeze kwa uteuzi wako. Niruhusu pia nimpongeze Rais wa nchi kwa kutangazwa kuwa mshindi. Ninasema kutangazwa kwa sababu wengine tuna fikira tofauti juu ya jambo hilo, lakini yeye ndiye Rais wa nchi na ninampongeza. Niruhusu pia The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}