GET /api/v0.1/hansard/entries/386257/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 386257,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/386257/?format=api",
    "text_counter": 86,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "hela. Tunataka viwanda vya kufadhili mambo kama hayo. Kwetu kuna ghala la mahindi kuptita kwa kilimo, lakini Serikali ikiona kwamba tumevuna mahindi mengi, wanaagiza mahindi mengi kutoka nje. Wakishaagiza, bei inaenda chini na mkulima hufa moyo. Hawezi kulima tena kwa sababu msimu uliopita hakupata faida iliotosha kulipa gharama zake. Serikali inatangaza kwamba imetoa mbolea, lakini ukienda kutafuta kwa ghala la hifadhi, hutapata. Kwa sababu majabali wakubwa wameichukua na kuipeleka kwa maduka ambako utanunua kwa gharama kubwa. Ni lazima tuangalie haya mambo. Kwetu tunajidanganya lakini labda ni hatua nzuri ya kwanza. Kuna serikali za ugatuzi lakini mle ndani mwa ugatuzi kuna wale waliofinywa. Hata kule mlima Kenya kuna wale ambao wamefinywa. Asante."
}