GET /api/v0.1/hansard/entries/386365/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 386365,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/386365/?format=api",
    "text_counter": 65,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "kupitia njia hii ya Seneti au Bunge kitu ambacho kina upungufu mkubwa ili iweze kurekebishwa na kutekelezwa, ili watu waishi kwa amani na matumaini. Bw. Spika, tunampongeza Rais kwa mambo ya kuleta laptops kwa watoto, lakini hilo ni pendekezo ambalo yeye mwenyewe anafikiria kuleta. Ni wajibu wetu viongozi kuangalia njia bora ya kuhakikisha kwamba hizo laptops zinawasaidia watoto wetu. Mimi naunga mkono Sen. Khaniri anaposema kwamba watoto wa Class One, Two na Three wakipewa laptops, itakuwa ni chombo tu cha kuweza kukitumia nyumbani na kisha baadaye, kisiweze kuwasaidia. Watoto wa Standard One mpaka Standard Five wanafaa kutengewa nyumba maalum kubwa ili kila mmoja aweze kujifunza mambo ya"
}