GET /api/v0.1/hansard/entries/386367/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 386367,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/386367/?format=api",
    "text_counter": 67,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(IT) huko. Kisha wakifika Standard Five na kuendelea wanaweza kupewa hizo laptops kwenda nazo nyumbani. Bw. Spika, naunga mkono Hotuba ya Rais na tutashirikiana pamoja. Serikali ya ugatuzi ya Kaunti ndio suluhisho pekee kwa wale watu ambao wamewachagua. Ikiwa watashindwa kutekeleza wajibu huo, itakuwa wajibu wetu kama Maseneta walio hapa kuangalia kuwa wanapewa madaraka ya kutosha, kulingana na Katiba yetu mpya. Bw. Spika, kwa hayo machache, naunga mkono Hotuba ya Rais."
}