GET /api/v0.1/hansard/entries/386409/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 386409,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/386409/?format=api",
    "text_counter": 109,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Nyakeriga",
    "speaker_title": "The Nominated Senator",
    "speaker": {
        "id": 13112,
        "legal_name": "Linet Kemunto Nyakeriga",
        "slug": "linet-kemunto-nyakeriga"
    },
    "content": " Thank you, Mr. Speaker, Sir, for giving me this time. Mwanzo kabisa, nina furaha kwamba Rais wetu, Uhuru Kenyatta na Naibu wake, William Ruto, walichukua usukani na tutafanya kazi pamoja nao. Kwanza, ninawashukuru kwa sababu walitukumbuka sisi kama walemavu na nimefurahi. Pili, nashukuru chama ambacho kilinichagua kama mama kuwakilisha walemavu kwa sababu ni wengi ambao wangeweza kufika hapa lakini chama cha TNA kiliona ni vyema nije Bunge kuwakilisha wale walio walemavu."
}