GET /api/v0.1/hansard/entries/386413/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 386413,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/386413/?format=api",
    "text_counter": 113,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Nyakeriga",
    "speaker_title": "The Nominated Senator",
    "speaker": {
        "id": 13112,
        "legal_name": "Linet Kemunto Nyakeriga",
        "slug": "linet-kemunto-nyakeriga"
    },
    "content": "Katika upande wa michezo na kazi zingine tofauti, kuna michezo tofauti ambayo walemavu wanaweza kuhusishwa kama vile michezo ya mipira. Vipofu hucheza michezo ya mipira. Ninajua kwamba hakuna kitu ambacho mtu mlemavu hawezi kufanya. Tupatie The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}