GET /api/v0.1/hansard/entries/387307/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 387307,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/387307/?format=api",
"text_counter": 320,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Onyonka",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 128,
"legal_name": "Richard Momoima Onyonka",
"slug": "richard-onyonka"
},
"content": "Bw. Naibu Spika wa Muda, vile ndugu yangu alivyosema, katika kumalizia, ningependa kusema kwamba hela ambazo zimegawiwa maeneo ya uwakilishi Bungeni, ambazo ni za CDF, ni lazima Bunge hili lihakikishe kwamba hela hizo haziondolewi kamwe. Hizo hela zinasaidia wananchi; sisi ndio tunajenga shule na barabara. Hayo ndio maendeleo wananchi wanatarajia mashinani. Jambo lingine ambalo linaleta shida ni kuwa kama gavana hataweza kuleta maendeleo yale tunayotarajia katika maeneo ya uwakilishi Bungeni, katika sehemu za kaunti tutafanya nini? Hapo ndipo CDF itasaidia."
}