GET /api/v0.1/hansard/entries/387308/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 387308,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/387308/?format=api",
    "text_counter": 321,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Onyonka",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 128,
        "legal_name": "Richard Momoima Onyonka",
        "slug": "richard-onyonka"
    },
    "content": "Kwa kumalizia, ninaunga mkono Mswada huu na ninatoa hisia zangu kwa hisani. Ningependa kutoa hisia kwamba tuhakikishe, tumalize na kupitisha huu Mswada ili kaunti ziendelee na wananchi wa Kenya wahisi vizuri na maendeleo kupatikana mashinani."
}