GET /api/v0.1/hansard/entries/389256/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 389256,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/389256/?format=api",
"text_counter": 176,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Hassan",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 431,
"legal_name": "Hassan Omar Hassan Sarai",
"slug": "hassan-omar-hassan-sarai"
},
"content": "Bw. Spika, nataka kukushukuru sana kwa fursa hii na pia kumshukuru Sen. (Dr.) Zani kwa kuleta Hoja hii. Mimi nimesimama hapa kuiunga mkono Hoja hii kwa sababu hili ni jambo nyeti sana katika mpangilio wetu wa kaunti. Tangu Serikali ianzishe sera mpya ya utawala wenye ngazi mbili, Wakenya wamekuwa na matarajio mengi sana. Wengi wameamini kwamba ugatuzi ni sera ambayo italeta afueni katika maisha yao. Sisi kutoka pwani, tuliamini kwamba tutaleta ugatuzi wa The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}