GET /api/v0.1/hansard/entries/389496/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 389496,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/389496/?format=api",
"text_counter": 169,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwaura",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13129,
"legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
"slug": "isaac-mwaura"
},
"content": "Mhe. Spika, nikiongezea, Mswada huu utahakikisha kwamba Wakenya watakuwa wakipata riba nzuri kutoka kwa mashirika ya kifedha. Mtu akirudishiwa pesa alizowekeza peke yake, ukizingatia kupanda kwa gharama ya maisha baada ya muda fulani, utaona kwamba thamani ya pesa zilizokuwa kwenye benki inapungua. Pia nikiongezea, itakuwa rahisi, iwapo kutakuwa na jambo lolote ambalo litasababisha benki kushindwa kuwaregeshea wawekezaji pesa zao; kwa Wakenya kupata pesa walizowekeza bila kupitia changamoto nyingi kama tunavyoona masaibu yanayowakumba wazee wetu wakienda kudai malipo yao ya uzeeni."
}