GET /api/v0.1/hansard/entries/389748/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 389748,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/389748/?format=api",
    "text_counter": 160,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "September 18, 2013 SENATE DEBATES 31 Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Mwisho ningeta kusema ya kwamba, watu wa pwani ni watu wa amani, lakini isichukuliwe ile amani kama unyonge. Sisi sio watu wanyonge. Kwa hivyo, tunasema ya kwamba, heshima sio utumwa. Ni lazima tuheshimiane. Kwa hayo machache, ninaomba kuunga mkono Hoja hii. Asante sana."
}