GET /api/v0.1/hansard/entries/389966/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 389966,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/389966/?format=api",
"text_counter": 182,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 751,
"legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
"slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
},
"content": "Asante sana, Bw. Naibu Spika wa Muda. Nasimama kuunga mkono Hoja hii kwa kugeuza kile kipengele kinachosema ya kwamba wafikiriwe wakulima kulipwa ama kulipwa ridhaa. Hiyo ni lazima walipwe kwasababu chakula ni muhimu katika maisha ya mwanadamu na tukiangalia ule umasikini ambao tuko nao huko chini mashambani, mwingi umetokana na chakula chetu kuliwa na wanyama wa pori. Na kumfanya huyu mkulima ajiskie kwamba naye Serikali imemfikiria na ili na yeye pia aweze kuwalinda wale wanyama, ni lazima naye aone faida kutokana na kulipwa chakula chake kile ambacho amejitahidi kulima katika shamba lake."
}