GET /api/v0.1/hansard/entries/389968/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 389968,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/389968/?format=api",
"text_counter": 184,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 751,
"legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
"slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
},
"content": "kwamba tunakuja na Mswada ambao utaweza kuleta haya mambo kwa pamoja ili tuweze kuyajadiili kisawasawa katika Bunge na pia tuweze kupata maoni tofauti tofauti kwa wananchi. Ni lazima wananchi wetu waweze kufikiria kwasababu bila chakula tutakuwa kila siku sisi ni waombaji na hatutaki kuona Kenya yetu ikiwa siku zote inatafuta chakula kutoka nje. Sehemu nyingi katika nchi hii ni sehemu za kilimo lakini zimefanywa ziwe masikini ama wawe na njaa kwasababu ya mnyama wa pori ambaye anaendelea kula chakula chetu."
}