GET /api/v0.1/hansard/entries/389969/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 389969,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/389969/?format=api",
"text_counter": 185,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Chidzuga",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 751,
"legal_name": "Zainab Kalekye Chidzuga",
"slug": "zainab-kalekye-chidzuga"
},
"content": "Kwa hivyo, tunaomba ijapokuwa Hoja hii imezungumzia tuu sehemu moja ya Mount Kenya, hili neno sio la Mt. Kenya peke yake bali ni neno ambalo litahusisha Kenya nzima popote pale palipo na mnyama wa pori ili mkulima aweze kulipa chakula chake."
}