GET /api/v0.1/hansard/entries/390112/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 390112,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390112/?format=api",
"text_counter": 39,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante, Bw. Spika. Kwanza, ningependa kumpongeza wakili Seneta Mutula Kilonzo Junior kwa ushindi wake katika uchaguzi mdogo. Ushindi wake ulikuwa wa kukamilika na kuthibitisha ya kwamba ni wakili na mtetezi ambaye watu wa Kaunti ya Makueni walikuwa wamejitolea kumpa nafasi ili aweze kuwahudumia. Bw. Spika, namfahamu Sen. Mutula Kilonzo Junior kama wakili mwenzangu ijapokuwa nimepita viwango kadha nikwa jaji na hatimaye kuweza kustaafu. Kama wakili, kuna nyakati amekuwa mbele yangu nikiwa jaji na nimeona kwamba amekamilika kiwakili."
}