GET /api/v0.1/hansard/entries/390114/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 390114,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390114/?format=api",
"text_counter": 41,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Ikiwa Maseneta hawa wawili wamesikizana na Hoja hii imefika mbele ya Seneti, hatuna budi ila kuiunga mkono ili Sen. Mutula Kilonzo Junior aweze kuutumia ujuzi wake wa uwakili kuendeleza Kamati hii. Bw. Spika, kwa hayo machache, naunga mkono."
}