GET /api/v0.1/hansard/entries/390117/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 390117,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390117/?format=api",
"text_counter": 44,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Hassan",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 431,
"legal_name": "Hassan Omar Hassan Sarai",
"slug": "hassan-omar-hassan-sarai"
},
"content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii ili niunge mkono pendekezo hili la kumleta Sen. Mutula Kilonzo Junior katika Kamati ya Maswala ya Kisheria na Haki za Kibinadamu. Bw. Spika, Kamati hii ni ya watu wazito. Mwenyekiti, Sen. Amos Wako, alikuwa Mkuu wa Sheria kwa karibu miaka 20. Naibu wake ni kijana ambaye anacheza mpira - ni chipukizi ambaye anacheza namba ya mbele na nyuma. Seneta Sang, hachoki akicheza mpira."
}