GET /api/v0.1/hansard/entries/390119/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 390119,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390119/?format=api",
    "text_counter": 46,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Hassan",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 431,
        "legal_name": "Hassan Omar Hassan Sarai",
        "slug": "hassan-omar-hassan-sarai"
    },
    "content": "Katika Kamati hiyo pia kuna aliyekuwa mwenzangu katika maswala ya haki za kibinadamu na ni Bi. Fatuma Dullo, ambaye alikuwa kamishna katika Tume ya kutetea Haki za Kibinadamu. Mwanachama mwingine ni Seneta wa Kaunti ya Elgeyo-Marakwet, Sen. Murkomen, ambaye amesifika katika maswala ya ugatuzi.. Aliyekuwa Waziri wa maswala ya Kisheria, Sen. Murungi pia ni mwanachama wa Kamati hii. Naibu wa Spika wa Bunge la Seneti, Sen. Kembi-Gitura, pia ni mwanachama. Kuna wakili wa Chama cha Wiper, Bi Sijeny. Pia, mimi ni mwanachama wa Kamati hiyo na mimi ni Seneta wa Kaunti ya Mombasa."
}