GET /api/v0.1/hansard/entries/390123/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 390123,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390123/?format=api",
    "text_counter": 50,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Hassan",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 431,
        "legal_name": "Hassan Omar Hassan Sarai",
        "slug": "hassan-omar-hassan-sarai"
    },
    "content": "Mimi ni goal keeper ! Kazi yangu ni kuhakikisha Kamati hii haivuji, ikivuja mimi niko hapo kunyaka. Sen. Mutula Kilonzo Junior, ukija, unakuja katika miamba ya kisheria. Tunakukaribisha kwa kuleta mwongozo. Nilikuwa nikishirikiana na Sen. Mutula Kilonzo Junior tulipokuwa katika Tume ya Haki za Kibinadamu. Ametuwakilisha katika East African Court of Justice. Niko na imani kubwa naye. Ndungu yetu Sen. Billow amesema huu ni wakati wa “digital”, ukiangalia---"
}