GET /api/v0.1/hansard/entries/390129/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 390129,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390129/?format=api",
"text_counter": 56,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Hassan",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 431,
"legal_name": "Hassan Omar Hassan Sarai",
"slug": "hassan-omar-hassan-sarai"
},
"content": "Bw. Spika, cha kuhuzunisha ni kwamba mfuasi mkubwa wa chama cha Jubilee, Seneta Billow, hajui “digital” kwa Kiswahili ni nini. Alikuwa akiwambia nini watu wa Kaunti ya Mandera? Bw. Spika, kwa kumalizia, ningependa kumkaribisha Sen. Mutula Kilonzo Junior. Ukingalia Seneta Wako, Sang na mimi tuko na Ipad. Kwa hivyo, mambo ni digital. Na wewe pia nakuona unayo. Hebu iinue Bw. Spika aione."
}