GET /api/v0.1/hansard/entries/390166/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 390166,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390166/?format=api",
    "text_counter": 93,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Machage",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 179,
        "legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
        "slug": "wilfred-machage"
    },
    "content": "Bw. Spika, asante kwa kumkumbusha mwenzangu wajibu wake, kwamba ukishaleta Hoja, ni lazima usikilize kwa sababu kuna maswali ambayo yanakubidi kuyajibu baadaye. Lakini asiwe na wasiwasi kwa sababu Hoja yake ni nzuri. Ni wazo la hekima na maendeleo. Bw. Spika, naunga mkono Hoja hii kwa dhati."
}