GET /api/v0.1/hansard/entries/390472/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 390472,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390472/?format=api",
    "text_counter": 237,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "inafaa kumpa Msajili wa Vyama pesa. Msajili wa Vyama anafaa kugawanya pesa hizi kwa vyama. Vyama hivi vitafika mashinani vitakapopewa ufadhili. Hivi sasa, vyama vingi vimefungua maofisi ambayo yanadaiwa kodi. Ofisi zingine zimefungwa. Kule ambako kuna uchaguzi mdogo, maofisi yatafunguliwa lakini kule ambapo hakuna uchaguzi mdogo, ofisi hizo zitafungwa. Huo ndio ukweli. Tuuseme ukweli ulivyo. Wengine ukiwaambia ukweli wanakasirika. Hiyo ndiyo tabia yetu. Tunachosema ni kwamba demokrasia haifai kuonekana siku moja tu bali inafaa kuwa inaendelea. Inafaa kuonekana leo, kesho na kesho kutwa. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}