GET /api/v0.1/hansard/entries/390621/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 390621,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390621/?format=api",
    "text_counter": 103,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mbuvi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 80,
        "legal_name": "Gideon Mbuvi",
        "slug": "gideon-mbuvi"
    },
    "content": "Asante Sana Bw. Spika kwa kunipatia fursa hii kuchangia Hoja hii ya leo. Kwanza kabisa, ningependa kuchukua nafasi hii kutoa rambi rambi zangu kwa jamaa na marafiki waliowachwa na wapendwa wao katika mkasa huu uliotukumba, sio watu wa Nairobi peke yetu, lakini kama Wakenya wote. Pili, pia ningependa kuwatakia wale waliolazwa hospitalini waugue pole; tuwaweke katika maombi yetu ili Mwenyezi Mungu awasaidie ili waweze kupona. Tatu---"
}