GET /api/v0.1/hansard/entries/390640/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 390640,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390640/?format=api",
    "text_counter": 122,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mbuvi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 80,
        "legal_name": "Gideon Mbuvi",
        "slug": "gideon-mbuvi"
    },
    "content": "Tatu, Bw. Spika, ningependa kuwapongeza viongozi wote na wanasiasa wote wa Upinzani, wakiongozwa na aliyekuwa Waziri Mkuu, aliyekuwa Naibu wa Waziri Mkuu, Seneta Orengo na Seneta Wetangula, kwa kuweka tofauti zetu za kisiasa kando na kusimama kwa umoja kama Wakenya kujumuika na Wakenya wengine kwa hili janga lililotupata."
}