GET /api/v0.1/hansard/entries/390641/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 390641,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390641/?format=api",
"text_counter": 123,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mbuvi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 80,
"legal_name": "Gideon Mbuvi",
"slug": "gideon-mbuvi"
},
"content": "Kwa sababu ya wakati, Bw. Spika, ningependa kuwapongeza viongoizi wa vikosi vya usalama – Inspekta Jenerali wa Polisi, naibu wake, Madam Kahindi, mkuu wa kikosi cha wanajeshi, Bw. Karangi, na wale wengine wote ambao waliweza kusaidiana nao katika kuwaokoa manusura waliokuwa ndani ya jumba la Westgate."
}