GET /api/v0.1/hansard/entries/390655/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 390655,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390655/?format=api",
    "text_counter": 137,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mbuvi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 80,
        "legal_name": "Gideon Mbuvi",
        "slug": "gideon-mbuvi"
    },
    "content": "Bw. Spika, huu si ule wakati wa kuogopana hasa tunapoangalia maslahi ya Wakenya. Ni wakati wa kusimama na ukweli. Niko ndani ya Serikali ya Jubilee na nitaiunga Serikali hii kwa njia yoyote ile, lakini ukweli ubaki ukweli na usemwe!"
}