GET /api/v0.1/hansard/entries/390690/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 390690,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390690/?format=api",
    "text_counter": 172,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mbuvi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 80,
        "legal_name": "Gideon Mbuvi",
        "slug": "gideon-mbuvi"
    },
    "content": "Kwanza, nimesifu vikosi kadha vya usalama na wakubwa wa polisi. Lakini tuna shida katika upande wa ujasusi. Ni kwa nini nasema hivi? Ninaposimama hapa, Wakenya, Maseneta na Wabunge wenzangu watashtuka. Nawapongeza Wabunge kwa ile kazi nzuri ambayo walitufanyia kwa kusimama na sisi wakati wa shida hii. Walituchangia damu na kutupatia pesa. Pia Maseneta walitoa damu kama Sen. Moi na wengine wote. Asante sana na Mwenyezi Mungu awabariki."
}