GET /api/v0.1/hansard/entries/390691/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 390691,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390691/?format=api",
"text_counter": 173,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mbuvi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 80,
"legal_name": "Gideon Mbuvi",
"slug": "gideon-mbuvi"
},
"content": "Bw. Spika, miezi miwili iliyopita tulikuwa na information kuwa majambazi wamekodishwa nyumba upande wa Parklands na Westlands. Niko na ushahidi kutoka kwa kina mama wawili wa Kihindi ambao walikuja katika ofisi yangu – niko na ushahidi kwamba walikuwa wanakaa na majambazi hawa. Sitataja majina yao kwa sasa lakini niko tayari kutoa ushahidi wangu kwa polisi na kwa committee inayohusika na usalama kwa National Assembly na Senate. Kina mama h awa walikuwa wanakaa na majambazi The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}