GET /api/v0.1/hansard/entries/390692/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 390692,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390692/?format=api",
    "text_counter": 174,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mbuvi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 80,
        "legal_name": "Gideon Mbuvi",
        "slug": "gideon-mbuvi"
    },
    "content": "hawa, wakaanza kufanyiwa mistreatment na kupelekwa kwa njia ambazo si sawa, wakionyeshwa ma grenade na bunduki. Wafanyakazi wa Westlands na Parklands wa asili za Kiarabu na za Kihindi ndio waliwapatia majambazi hawa makao. Walika Nairobi kwa miezi zaidi ya tatu wakipanga haya mashambulizi."
}