GET /api/v0.1/hansard/entries/390753/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 390753,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390753/?format=api",
    "text_counter": 235,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, tukiongea haya maneno yote, ni aibu kusikia kwamba eti vitambulisho vyetu vinauzwa na Idara ya Uhamiaji kwa Kshs200. Hakuna Msomali wa Kenya anayeweza kupata kitambulisho katika taifa letu bila kuulizwa babu yake alikufa akiwa na meno mangapi lakini Wasomali wanaotoka nje, wanapewa vitambulisho bila kuulizwa maswali. Wale wahuni wanataka kutugawanya kwa misingi ya dini. Ninakubaliana na Sen. Haji kwamba hakuna Mwislamu – vile ninavyowafahamu – ambaye anaweza kukubali The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}