GET /api/v0.1/hansard/entries/390754/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 390754,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390754/?format=api",
"text_counter": 236,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 96,
"legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
"slug": "johnson-muthama"
},
"content": "mtu mwingine ateseke. Kurani na Biblia ni kitu kimoja ila tofauti ni kidogo sana. Tunavyoamini kama Wakristo ndivyo Waislamu wanavyoamini. Kwa hivyo, wale wanaotaka kuleta siasa kwamba watu walikuwa wanaulizwa kama ni Waislamu au Wakristo, Wahindi ama wakosa dini, si ukweli. Watu waliuwawa na hakuna vile mtoto wa miaka miwili, kwa mfano, angeulizwa dini yake. Wale wanaoongea mambo hayo wanatuhuzunisha na nia yao ni kutugonganisha."
}