GET /api/v0.1/hansard/entries/390756/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 390756,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390756/?format=api",
    "text_counter": 238,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, Alhamisi iliyopita, kule Mathare kulikuwa na mlipuko na watu wakafa. Tunajua vile mambo yalivyo kule Mandera. Je kule Mandera ni Wakristo au ni Waislamu walio wengi ? Na wale wanaouwawa ni akina nani? Mbunge wa Kitui Kaskazini amezungumza na kusema kwamba, pale katika hifadhi ya wanyama kuna watu zaidi ya 5, 000 ambao wanaishi hapo na hawajulikani wanakotoka. Kwa nini mpaka leo Serikali haijashughulika kujua hao ni watu gani?"
}