GET /api/v0.1/hansard/entries/390805/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 390805,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390805/?format=api",
"text_counter": 287,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chelule",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13126,
"legal_name": "Liza Chelule",
"slug": "liza-chelule"
},
"content": "Asante sana, Bw. Naibu Spika, kwa kunipa nafasi hii. Ningependa kuunga mkono wale ambao wameongea mbeleni na kurudisha pole kwa wale wote waliopoteza jamaa zao na wale waliopata majeraha na wamelazwa katika hospitali mbali mbali. Ninawaombea wapone haraka. Ningependa kuwashukuru viongozi wa nchi yetu ya Kenya. Jana, nilifurahi sana nilipowaona wamesimama pamoja bila kujali vyama, The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}