GET /api/v0.1/hansard/entries/390807/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 390807,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390807/?format=api",
"text_counter": 289,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chelule",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13126,
"legal_name": "Liza Chelule",
"slug": "liza-chelule"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, ningependa kuongezea neno moja tu. Wananchi wa Kenya tunategemea ulinzi bora kutoka kwa Mwenyezi Mungu na ningeomba kama inawezekana sisi viongozi na wananchi wote tuje pamoja kuombea nchi yetu na tuombe Mungu atulinde kwa sababu kuna shida. Tuliona vile wananchi wote, haswa, akina mama na watoto wakiumia jana. Hii inahitaji mkono wa Mungu. Kwa hivyo ningependa kusema kwamba tungetenga siku moja kama viongozi ili tuungane pamoja na kutoa msimamo mmoja kama viongozi wa Kenya na kuomba Mwenyezi Mungu."
}