GET /api/v0.1/hansard/entries/390820/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 390820,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390820/?format=api",
    "text_counter": 302,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chiaba",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 3,
        "legal_name": "Abu Mohamed Chiaba",
        "slug": "abu-chiaba"
    },
    "content": "Naamini ya kwamba pia Bibilia inasema hivyo. Pia Uislamu unafunza hivyo. Wanaoanzisha uchochezi baini ya dini mbalimbali ni watu ambao hawana nia ya kuumaliza ugaidi duniani. Tusimame sote imara dhidi ya ugaidi. Bw. Naibu Spika, tunawapongeza vingozi wetu wa kitaifa ambao wamesimama imara kuonyesha dunia mzima kwamba Kenya iko tayari kuwamaliza magaidi wakiwa ni wa hapa au wa kutoka nje ya nchi."
}