GET /api/v0.1/hansard/entries/390823/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 390823,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390823/?format=api",
    "text_counter": 305,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chiaba",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 3,
        "legal_name": "Abu Mohamed Chiaba",
        "slug": "abu-chiaba"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, naomba tuwe imara na tusimame na majeshi yetu wanapopambana na ugaidi hapa nyumbani na hata nje. Wale ambo wameenda katika jumba hili hatujui kama wamafariki, lakini tunajua wamejitolea mhanga kufanya kazi ambayo ni ya umuhimu kwetu sisi sote. Kwa hayo machache, ninaunga mkono."
}