GET /api/v0.1/hansard/entries/390875/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 390875,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390875/?format=api",
"text_counter": 357,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mositet",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 608,
"legal_name": "Peter Korinko Mositet",
"slug": "peter-korinko-mositet"
},
"content": "Asante sana, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii niweze kuungana na Wakenya na hasa Maseneta wenzangu katika kuchangia Hoja hii. Kwanza, natoa rambirambi zangu, za jamii yangu na watu wa Kaunti ya Kajiado kwa wale wote ambao walipoteza maisha zao. Pia nawakumbuka wapendwa wao na wale ambao wako hospitalini hadi sasa. Nasema pole sana na Mungu awe nanyi. Ombi letu ni kwamba hili taifa litasimama imara."
}