GET /api/v0.1/hansard/entries/390876/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 390876,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390876/?format=api",
    "text_counter": 358,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mositet",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 608,
        "legal_name": "Peter Korinko Mositet",
        "slug": "peter-korinko-mositet"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, jambo hili liliweza kutupatia mawazo mengi. Ukijaribu kufikiria ni nini hawa magaidi walitaka ifanyike, kwanza, walijaribu sana kuweka uoga katika uongozi wa taifa hili na hata baina ya sisi hapa katika Seneti. Pia pengine walitaka wananchi wawe na uoga ili wasiweze kutembea bila wasiwasi. Pia walitaka kugawanya watu kulingana na dini. Lakini Mungu ametusaidia kusimama pamoja kama Wakenya. Natoa hongera kwa Wakenya kwa kusimama imara baada ya jambo hilo kutokea."
}