GET /api/v0.1/hansard/entries/390878/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 390878,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390878/?format=api",
    "text_counter": 360,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mositet",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 608,
        "legal_name": "Peter Korinko Mositet",
        "slug": "peter-korinko-mositet"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, baada ya jeshi letu kwenda Somalia, ni lazima walinda usalama wangejua kwamba kuna vile wale watu wanavyopanga. Na tangu wakati huo, ingefaa, sisi sote tuelezewe kazi ya kila idara ili tuhakikishe kwamba wale magaidi hawataweza kuingia ama kuja kutusumbua kwa njia yoyote. Lakini kusema tu kwamba jeshi letu limefanya kazi nzuri bila kuelezwa ni mikakati gani imewekwa, ninafikiri ni lazima Serikali ihakikishe ya kwamba Wanakenya hawatakuwa na uoga pahali popote."
}