GET /api/v0.1/hansard/entries/390880/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 390880,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390880/?format=api",
    "text_counter": 362,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwakulegwa",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 101,
        "legal_name": "Danson Mwazo Mwakulegwa",
        "slug": "danson-mwazo"
    },
    "content": "Asante, Bi. Spika wa Muda. Magaidi ni maajenti wa shetani. Ukisikia kwamba mtu anaitwa ajenti wa shetani, yeye hana dini. Kama wangekuwa na dini, hawangeweza kufanya hayo mambo. Nataka nipeane rambirambi zangu binafsi na watu wa Taveta Taveta kwa waliofariki dunia. Na walioko hospitalini, tunawaombea afueni. Mwenyezi Mungu awaguze wapate kupona kwa haraka. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}