GET /api/v0.1/hansard/entries/390883/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 390883,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390883/?format=api",
    "text_counter": 365,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwakulegwa",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 101,
        "legal_name": "Danson Mwazo Mwakulegwa",
        "slug": "danson-mwazo"
    },
    "content": "Tunasema ya kwamba ugaidi usije ukatambuliwa kwa rangi au lugha. Ugaidi ni ugaidi. Tunavyotaka kufanya ni kama vile Seneta wa Homa Bay amependekeza. Inafaa tupeleke usalama hadi vijijini ili kwamba utakaemuona pale, ni lazima umuulize ni nani na amekuja kwa nani. Hapa Nairobi, wengine tumeishi kwa miaka kumi na hatuwajuwi majirani wetu na kile wanachofanya. Ni wakati tuamke na tuanze kujua majirani wetu. Tukichukua uwezo huu kama wananchi, tutathibiti usalma wetu."
}