GET /api/v0.1/hansard/entries/390884/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 390884,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390884/?format=api",
    "text_counter": 366,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwakulegwa",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 101,
        "legal_name": "Danson Mwazo Mwakulegwa",
        "slug": "danson-mwazo"
    },
    "content": "Bi Spika wa Muda, jambo la mwisho ni kwamba askari wetu na wale wote wanaohusiana na usalama wamefanya kazi nzuri. Wale walioteleza kidogo, tutawarekebisha baadaye. Lakini tuwape motisha kwa kufanya kazi nzuri, maanake kazi bado inaendelea. Walioponyoka, tunataka washikwe ili watuambie kile walichokuwa wakitatafuta nchini Kenya. Tusipojua lengo lao, basi hatutajihami. Tukifahamu malengo yao, tutajiweka vizuri zaidi ili tutetee usalama wetu."
}