GET /api/v0.1/hansard/entries/390900/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 390900,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/390900/?format=api",
    "text_counter": 382,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mbura",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13153,
        "legal_name": "Emma Mbura Getrude",
        "slug": "emma-mbura-getrude"
    },
    "content": "Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa nafasi hii. Kwanza ningependa, kwa niaba ya akina mama wote wa Pwani, wazee wa Kaya wa Kimijikenda na akina mama wote ulimwenguni ambao wamepitia uchungu kuzaa, kulaani kitendo hiki cha ugaidi kilichotokea katika Westgate Mall. Hawa ambao tunawaita Al Qaeda ni watu waliopitia kutoka kwa matumbo yetu sisi wanawake. Pia ningetuma risala zangu za rambirambi kwa Rais wetu wa Jamhuri ya Kenya wakati huu wa msiba katika taifa letu la Kenya na kwa familia zote ambazo zilipatikana na mkasa huu na marafiki. Ningependa kuwapa moyo kutoka kifungu cha Biblia, kitabu cha Warumi, 8:36. Kifungu hiki kinasema hivi:-"
}