GET /api/v0.1/hansard/entries/391038/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 391038,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/391038/?format=api",
"text_counter": 112,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy Juma Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 758,
"legal_name": "Boy Juma Boy",
"slug": "boy-juma-boy"
},
"content": "Mtandawazi ndio mwelekeo wa kisasa. Hoja hii ina umuhimu kwa sababu kaunti ndio mwelekeo mkubwa ambapo sasa tunaenda katika Serikali za Ugatuzi. Makao makuu ya ugatuzi sasa yako katika kaunti. Hapa ndipo mahali ambapo huu mtandawazi utakapounganishwa, basi kaunti zitaweza kuunganishwa na Serikali kuu, Seneti, Treasury na ulimwengu kwa ujumla. Hivi sasa ulimwengu umekuwa nyumba moja na hatuwezi kukaa na kusema kwamba kaunti zetu zibaki vile zilivyo. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}