GET /api/v0.1/hansard/entries/391044/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 391044,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/391044/?format=api",
    "text_counter": 118,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Juma Boy Juma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 758,
        "legal_name": "Boy Juma Boy",
        "slug": "boy-juma-boy"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, namshukuru kwa sababu nilifikiri haelewi kumbe anaelewa. Hivyo alivyo elewa ndio ilikuwa nia yangu na wala si nia yangu kupotosha wananchi. Kuna Serikali ya Kitaifa na serikali ya ugatuzi."
}