GET /api/v0.1/hansard/entries/391045/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 391045,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/391045/?format=api",
    "text_counter": 119,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Juma Boy Juma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 758,
        "legal_name": "Boy Juma Boy",
        "slug": "boy-juma-boy"
    },
    "content": "Kulingana na hali hii, nia na madhumuni ya hoja hii ni kuhakikisha ya kwamba nchi nzima, huu utandawazi ambao ni mwelekeo wa miaka hii, unaendelea. Kwa hivyo, namsifu aliyeleta Hoja hii. Yeye ni mwenyekiti wa kamati yetu. Naona kwamba yeye yuko na maono ya mbele. Nawaomba maseneta wote kuunga mkono Hoja hii kwa sababu inaeleza kinagaubaga nia na madhumuni yake. Pia ameeleza wazi wazi sababu za kuunga mkono Hoja hii na ifuatiliwe kikamilifu. Serikali ya Kitaifa yafaa ihakikishe kuwa jambo hili linakamilika kama ipasavvyo."
}