GET /api/v0.1/hansard/entries/391048/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 391048,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/391048/?format=api",
    "text_counter": 122,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "September 25, 2013 SENATE DEBATES30 Sen. Hassan",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Hoja ya Nidhamu, Bi. Spika wa Muda. Je, Kiongozi wa Seneti wa Wengi yuko katika nidhamu kusema ametumia nafasi yake na nguvu zake za kazi iliyopita kumkabidhi Sen. Kagwe Udaktari wa Filosofia? Naona hafai kuipotosha Seneti hii katika jambo kama hilo."
}