GET /api/v0.1/hansard/entries/392439/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 392439,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/392439/?format=api",
"text_counter": 261,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": ", asilimia 70 ya wafanyakazi ni lazima wawe watu wa kutoka eneo hilo. Hivi juzi kulikuwa na mkutano baina ya magavana na Rais. Mojawapo ya dai la magavana ni kwamba TA ifutiliwe mbali. Hatukatai, hiyo ni sawa, lakini kuna muda ambao umepeanwa na Katiba ya miaka mitatu. Ni lazima masilahi ya wafanyikazi yazingatiwe na ikiwa watakuwa na hisia ya kurudi nyuma wakubaliwe kuambatana na Katiba ya Kenya. Ile mipango ambayo walikuwa wafanye haijakamilika. TA bado wako na kazi ya kufanya kama kuhesabu wafanyakazi. Wakati kama huo tunajua kwamba The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}