GET /api/v0.1/hansard/entries/392778/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 392778,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/392778/?format=api",
"text_counter": 308,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "matibabu ya bure. Pia ningependa kusistiza kwamba Kamati hii itilie maanani jambo la watu wa umri wa miaka 70 kwenda juu ambao hao pia ni sawa na watoto wa miaka mitano kwenda chini. Pia yafaa wapewe matibabu ya bure. Kwa hayo machache, ningependa kuunga mkono Ripoti hii."
}